Mfumo wa Tiketi Mtandao unatumia kanuni za usafirishaji za Mamalaka ya usafirishaji wan chi kavu Tanzania (LATRA) za mwaka 2020. Miamala ya fedha ya mfumo huu inatumia mifumo ya kifedha iliyosajiliwa chini ya Benki Kuu ya Tanzania. Aidha Matumizi ya kimtandao ya mfumo huu yanafanyika kwa mujibu wa kanuni na sheria za Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania (TCRA).
Hivyo kanuni na taratibu zinzotumika kwa watoa huduma wote wa kifedha, huduma za usafirishaji nchi kavu,na Mamalaka ya Mawasiliano zinatumika. Tiketi Mtandao haichukui dhamana ya makosa yanayofanywa na mteja katika matumizi mabaya ya mtandao huu au mtandao wa fedha au uvunjaji wa kanuni za usafirishaji kwa mujibu wa sharia za Tanzania. Vigezo na masharti kuzingatiwa